FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Mpira umesimama baada ya golikipa wa Wydad kuanguka chini
 
26'
Mpira unaendelea
 
Sven kwa muda mfupi kaibadilisha timu. Mechi hadi sasa ipo 50 kwa 50 kila mmoja ana nafasi ya kufuzu. Timu zina shambulia kwa zamu
 
27'
Freekick kuelekea lango la Wydad
 
Freekick inapigwa kipa anadaka mpira
 
29'
Mchezaji wa Wydad yupo chini baada ya kugongana vichwa na mchezaji mwenzake wa timu yake
 
Kuna mazombie uwanjani
 
Back
Top Bottom