Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nawaona wote wamekaza wanaendelea na mbugiIlikuwa hatari sana yani hiyo rough waliyochezeana hawa wachezaji wa Wydad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaona wote wamekaza wanaendelea na mbugiIlikuwa hatari sana yani hiyo rough waliyochezeana hawa wachezaji wa Wydad
Wameumia hawa wasituvungie😂Nawaona wote wamekaza wanaendelea na mbugi
AahhaaaaaWameumia hawa wasituvungie😂
Memelodi waki pigwa hii game watakua na mkosi .kila mwaka wana kuja na motooo afu wana tokaWydad anashinda hii gem
Wana laana kama ya WabrazilMemelodi waki pigwa hii game watakua na mkosi .kila mwaka wana kuja na motooo afu wana toka
Huwa nashangaa mamelody wakifikaga kuanzia Robo huwa hawana bahati hata.Memelodi waki pigwa hii game watakua na mkosi .kila mwaka wana kuja na motooo afu wana toka
Km Simba wa MsimbaziMamelodi wanakufa KIUME 😀 😀
sasa wanalinda nini kwani walitangulia kwa goli? wanatakiw watafte goliMamelody wanacheza mpira mkubwa sana
Hawa Wydad leo wapo compact kwenye kulinda