FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tutashangilia kwa sababu tutakuwa tumeshinda na wala si kwa kuingia kwenye makundi.
Furaha yetu tunaitunza hadi pale lengo letu la kuingia nusu fainali litakapotimia.
 
Hongera Yanga, kwani asilimia 10 tu ya watazamaji waliokua Chamaz jana ndio walioiona Yanga ikiingia hatua ya Makundi klabu bingwa ya Afrika mara ya mwisho, na 90% ndio mara ya kwanza kuiona Yanga ikiingia hatua ya makundi na hii ni baada ya miaka 25 kupita! Kwa mantiki hiyo kuna mtu alizaliwa hadi kuwa na familia ndio anaiona Yanga ikiingia hatua ya makundi. [emoji120][emoji120]
Ndo wajue kuna ugumu wa kuingia makundi.
 
Mtani nakutakia kila la heri na mafanikio, ila hii so mechi rahisi, angalien game ya kwanza ya Yanga na jana jamaa walivyokaza..

Hala muelekezeni yule msemaji wenu aache maneno mengi, atawaponza kwa kuwapa matumaini hewa yasiyo na ukweli.

Bado kuna mambo yakufanyiwa kazi Simba, tena mengi tu, angepunguza maneno yasiyo maana na ku i promote yanga kila siku.

Mtani nakutakia mafanikio...
 
Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.

Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.

Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Ikumbukwe Mechi ya Round ya kwanza kule Zambia kwenye dimba la Levy Mwanawasa timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Mpambano wa leo utaamua atakayeingia Makundi.

Je, ni Simba kama kawaida yetu?

Tukutane hapa kwa updates zaidi.

Unyama mwingi.
#nguvumoja#
SIMBA 3-1 mark this post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.

Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.

Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Ikumbukwe Mechi ya Round ya kwanza kule Zambia kwenye dimba la Levy Mwanawasa timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Mpambano wa leo utaamua atakayeingia Makundi.

Je, ni Simba kama kawaida yetu?

Tukutane hapa kwa updates zaidi.

Unyama mwingi.
#nguvumoja#
Nenda Simba , Nenda Sisi Zetu Dua .
Daima sisi tuko Nyuma yako.
 
Leo Sasa mnaenda kujitia aibu Lile pira papatupapatu linaenda kupapatuliwa!.
Yule aliejipa jina la usimba atajiita mchumba dera lazima avikwe mtu.. kuhaha,kelele na tumbo gesi kumpatia mtu leo ..😂
Usikimbie hili jukwaa.
 
Back
Top Bottom