FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tutashangilia kwa sababu tutakuwa tumeshinda na wala si kwa kuingia kwenye makundi.
Furaha yetu tunaitunza hadi pale lengo letu la kuingia nusu fainali litakapotimia.
 
Ndo wajue kuna ugumu wa kuingia makundi.
 
Mtani nakutakia kila la heri na mafanikio, ila hii so mechi rahisi, angalien game ya kwanza ya Yanga na jana jamaa walivyokaza..

Hala muelekezeni yule msemaji wenu aache maneno mengi, atawaponza kwa kuwapa matumaini hewa yasiyo na ukweli.

Bado kuna mambo yakufanyiwa kazi Simba, tena mengi tu, angepunguza maneno yasiyo maana na ku i promote yanga kila siku.

Mtani nakutakia mafanikio...
 
SIMBA 3-1 mark this post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Simba , Nenda Sisi Zetu Dua .
Daima sisi tuko Nyuma yako.
 
Leo Sasa mnaenda kujitia aibu Lile pira papatupapatu linaenda kupapatuliwa!.
Yule aliejipa jina la usimba atajiita mchumba dera lazima avikwe mtu.. kuhaha,kelele na tumbo gesi kumpatia mtu leo ..😂
Usikimbie hili jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…