DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sasa bocco atabadilisha nini fala huyoHivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?
Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
Wastue sasa waweke
Dah Hali ni teteNaanzaje kuamini kwa mpira ule Mtani.
Baada ya hii game, hata kama kuna miujiza fulani itakayotokea, huyu kocha hapaswi kuwa Simba Sc. Inawezakana ni kocha mzuri ila ni wazi kwamba falsafa zake hazifanyi kazi kwenye team kama Simba Sc pengine kutokana na aina ya wachezaji waliopo kikosini.Huyu kocha anawalostisha simba. dah!
Usijal
Natania tu...Be careful unaweza chezea ban la 1 week kimasihara 😂
Unampangia kocha wetu Robertinho?Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?
Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
Hawataki hata kusikiaHivi ni kweli mods mmesusa kuweka matokeo
Huyo Bishoo ni moja kati ya liabilities zilizopo kikosini.Onana si mda anaingia