Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?SUB
BALEKE OUT
BOKO IN
Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.