FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

SUB

BALEKE OUT
BOKO IN
Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?

Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
 
Asante sana robertihno Beleke is more aggressive and sharp kuliko boko umeendelea kuwapiga makolo misumali
 
Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?

Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
Huyu kocha anawalostisha simba. dah!
 
Game On
Dak 54"
Simba SC 0 - 1 Power Dynamos
(2-3 on Aggregate)
 
Mwaka huu timu inatutia aibu kwa usajili mbovu,timu imejaa wapigaji Mo anatakiwa aingie front mwenyewe badala ya kuwaachia majukumu wapigaji.
Huwezi kumbatia wazee na failures afu utegemee maajabu
 
Hivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?

Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.
Humjui Bocco wewe, tuliza jazba
 
Back
Top Bottom