FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Moderator. Badilisheni title ya uzi ili kuonyesha matokeo kama tulivyozoea. Niko maporini huku na nataka tu kuona matokeo kwenye title ya uzi. Mtandao huku ni wa shida πŸ™πŸΏ

Sorry lakini msije mkanilima ban πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
Hii ni weekend huenda wamesahau kubofya
 
Moderator. Badilisheni title ya uzi ili kuonyesha matokeo kama tulivyozoea. Niko maporini huku na nataka tu kuona matokeo kwenye title ya uzi. Mtandao huku ni wa shida πŸ™πŸΏ

Sorry lakini msije mkanilima ban πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
Maoni yamepokelewa
 
Daa hiki kituko mbona nikiangalia sub sioni kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa boko na uzee wote akiingia atafanya nini.
 
Daah..
Hivi unamtoa BALEKE,Unamuongiza BOKO..?
huyu mr objective hajipendi...

Mimi tatizo lipo kwa SAIDOO
 
Back
Top Bottom