dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Alipewa password za saver leo Ni mwanasimba usitegemee atafanya mabadiliko yoyoteModerator. Badilisheni title ya uzi ili kuonyesha matokeo kama tulivyozoea. Niko maporini huku na nataka tu kuona matokeo kwenye title ya uzi. Mtandao huku ni wa shida [emoji1545]
Sorry lakini msije mkanilima ban [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Labda tumuite mwenye forum hi atusadiee