FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Moderator. Badilisheni title ya uzi ili kuonyesha matokeo kama tulivyozoea. Niko maporini huku na nataka tu kuona matokeo kwenye title ya uzi. Mtandao huku ni wa shida [emoji1545]

Sorry lakini msije mkanilima ban [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Alipewa password za saver leo Ni mwanasimba usitegemee atafanya mabadiliko yoyote

Labda tumuite mwenye forum hi atusadiee
 

Mimi nilisha yaona haya mambo mda Mrefu.

Utakachopanda ndicho utakacho kivuma.

🙏
 
Huyu Mzee Kila Akihojiwa Lazima Usikie Neno "Objective" [emoji23]
20231001_170019.jpg
 
Back
Top Bottom