DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sasa bocco atabadilisha nini fala huyoHivi kocha mwenye akili timamu na anaejua anachofanya kwenye game kama hii na kwa jinsi tulivyo kwenye disadvantage, inakuwaje BOCCO anakuwa mbadala wa Baleke dakika za mapema hivi..?
Hebu tutoke kwanza kwenye hii michuano ili walau tuzungumze lugha moja na hawa viongozi wajinga waliopo hapo Simba Sc.