FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Hata goli la kwanza ni matokeo ya uzembe wa mabeki, hata kama hawamtaki huyo kipa hawatakiwi kufanya huo ujinga wao kwenye mechi ya muhimu kama hii.
Kweli
 
Kwa taabu sana .hawa jamaa wana enda makundi kufanyaje sijui
 
Game On
Dak 83"
Simba SC 1 - 1 Power Dynamos
(3-3 on Aggregate)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…