Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Sijui anafanya nini humu wakati anaumiaAnaleta kizungu cha kimarekani,umeamua kumtolea uvivu[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui anafanya nini humu wakati anaumiaAnaleta kizungu cha kimarekani,umeamua kumtolea uvivu[emoji3][emoji3]
AshaingiaHizo akili hana huyo mjinga.
Hata goli la kwanza ni matokeo ya uzembe wa mabeki, hata kama hawamtaki huyo kipa hawatakiwi kufanya huo ujinga wao kwenye mechi ya muhimu kama hii.Mabeki wanafanya nini? Au hawamtaki kipa? Hawamlindi kabisa.
Kama kocha WA jamiiforum nasema kocha aingize kiungo kanoute na amtoe kibu au ntibazokiza.
3-1 as predictedGame On
Dak 74"
Simba SC 1 - 1 Power Dynamos
(3-3 on Aggregate)
Simba anafuzu directWakitoka 1-1 wanapiga matuta ama?
Magoli ya ugeni yahesabiwa 2 Kila goli hivyo ikimalzika hivi itakuwa ni 5-3.Wakitoka 1-1 wanapiga matuta ama?
Huyu ndiye aliyekuwa anatutia kitete?
Huko South na ligi nyingine kubwa hakuna mambo ya likizo, miaka nenda rudi tunashiriki ila bado tunayaona haya mashindano kama deal sana kiasi cha kuzipa team zinazoshiriki muda wa wiki mbili.Tff iache kuzipa hizi timu likizo zikisubiria mechi. Waache walalamike. Tunajielewa sie Tanzania
AmepitaGame ikiisha moja moja simba amepita?
Man u sio Timu siku hizi ishantia presha za kutosha nimechokahuku Man Utd huku Simba Sports🥶🥶
Dah [emoji23]Bageshi tayari huku mods wamesharekebisha mitambo baada ya Simba kusawazisha [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2768646
Nilijuwa tu mods wa leo Ni roho ya paka[emoji23][emoji23]Bageshi tayari huku mods wamesharekebisha mitambo baada ya Simba kusawazisha [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2768646