FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Bageshi tayari huku mods wamesharekebisha mitambo baada ya Simba kusawazisha 😁😁😁

Screenshot_20231001_173333_Chrome.jpg
 
Tff iache kuzipa hizi timu likizo zikisubiria mechi. Waache walalamike. Tunajielewa sie Tanzania
Huko South na ligi nyingine kubwa hakuna mambo ya likizo, miaka nenda rudi tunashiriki ila bado tunayaona haya mashindano kama deal sana kiasi cha kuzipa team zinazoshiriki muda wa wiki mbili.
 
Back
Top Bottom