FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Niko naanda barua ya kumtimua Kocha hatufa...tumempa kila kitu ila team imemshinda
 
Pira papatu papatu....πŸ˜…πŸ˜…
 
Furaha ya kinyoooonge...
Hakuna clear chances tulizoonyesha...
Makosa mengi ktk defence line....
Skuelewa mpango kazi wa ROBERTINO...tatizo bado la kucheza mpira wa kasi na physique..

Baada ya game ya Ndola sikutegemea mchezo doro hivi kwa SIMBA...

Tushukuru Bahati kwa kusonga Group STAGE ... ROBERTINO ni kocha wa BAHATI SANA.
 
hawana furaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chupu chupu
 
Mimi mtetezi namba moja wa Robertinho lakini hapa nakiri uwezo umeishia hapo. Timu irudi kwa Mgunda tupate kocha serious zaidi!

Binafsi nilitegemea changes kubwa mno leo lakini imekuwa worse. Its enough, uvumilivu unatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…