FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tuko Pot ya 2 wakati Utopolo ya 3. Tuombe tu tupangiwe group moja tumpige nje ndani
 
Furaha ya kinyoooonge...
Hakuna clear chances tulizoonyesha...
Makosa mengi ktk defence line....
Skuelewa mpango kazi wa ROBERTINO...tatizo bado la kucheza mpira wa kasi na physique..

Baada ya game ya Ndola sikutegemea mchezo doro hivi kwa SIMBA...

Tushukuru Bahati kwa kusonga Group STAGE ... ROBERTINO ni kocha wa BAHATI SANA.
Asante
FB_IMG_1696167948970.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwacheki Sindiga Big Stars Sasa
 
NiliIsha toa ushauri kwa Klabu yangu simba

1. Golikipa Hakuna ALIENDA Tabora.

2. Beki wa kati Hakuna.

3. Kiungo Mkabaji No 6 hakuna.

4. Mshambuliaji MBADALA WA Baleke hakuna
 
Back
Top Bottom