Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Same to Zambia, au nyuma mwiko mkubwa?Kwahyo bila kujifunga hii mechi ndo ilikuwa mpaka msimu ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same to Zambia, au nyuma mwiko mkubwa?Kwahyo bila kujifunga hii mechi ndo ilikuwa mpaka msimu ujao
Hapana, lazima tubadili kocha. Uwezo wake umeishia hapo.Daah Super League tutatoboa kweli?
AsanteFuraha ya kinyoooonge...
Hakuna clear chances tulizoonyesha...
Makosa mengi ktk defence line....
Skuelewa mpango kazi wa ROBERTINO...tatizo bado la kucheza mpira wa kasi na physique..
Baada ya game ya Ndola sikutegemea mchezo doro hivi kwa SIMBA...
Tushukuru Bahati kwa kusonga Group STAGE ... ROBERTINO ni kocha wa BAHATI SANA.
Yanga IPO levels za fainali.Tunaingia makundi mara ya 5 ktk miaka 6!!! Uto aje hapa atie neno
Ujumbe wako unakurudia mwenyeweNaitwa Kilimba toka Iramba,ningependa kuwatumia salamu mtani wangu GENTAMYCINE Scars na Greatest Of All Time
Ujumbe usitukane mamba kabla a kuvuka mto
Timu inabahatisha snWamefuzu lakini hawana furaha
Na mwende mpaka nusu fainali sasaTunaingia makundi mara ya 5 ktk miaka 6!!! Uto aje hapa atie neno
Ya shirikisho bila shakaYanga IPO levels za fainali.
useme na mara ya mwisho kucheza fainali ya CAF ni lini..Tunaingia makundi mara ya 5 ktk miaka 6!!! Uto aje hapa atie neno
Mkuu naona kibonde kawasumbua sana Leo,ahaaaaUjumbe wako unakurudia mwenyewe
Achana nao na kelele zao za churaWatu wa uto kwa kuvamua tuthread za Mnyama hawajambo. Mtu unawexa dhani Hawa wote waokosoa Simba ni mashabiki wa Mnyama kumbe wengi wao ni wa utopolo tu.