Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Mmeanza kusema ukweli sasa , ukweli hukuweka huruMimi mtetezi namba moja wa Robertinho lakini hapa nakiri uwezo umeishia hapo. Timu irudi kwa Mgunda tupate kocha serious zaidi!
Binafsi nilitegemea changes kubwa mno leo lakini imekuwa worse. Its enough, uvumilivu unatosha.
Ndo mara ya kwanza Tangu mwaka 1998 kwahyo angalau na wao watafumbua macho ya ligi ya mabingwaYanga IPO levels za fainali.
Sasa hapa ndo tutaona nani mzuri kimataifa ,tarehe sita makundi yanapangwauseme na mara ya mwisho kucheza fainali ya CAF ni lini..
Kwa huu mpira wa papatu papatu!! Mtaita maji mma.Tuko Pot ya 2 wakati Utopolo ya 3. Tuombe tu tupangiwe group moja tumpige nje ndani
Usitufundishe namna ya kula na kipofuMkuu naona kibonde kawasumbua sana Leo,ahaaaa
Mashindano ya CAF.Ya shirikisho bila shaka
Labda tutoboe matundu ndugu yangu. Kocha hana mipango, timu linakwenda kwenda tu.Daah Super League tutatoboa kweli?
NiliIsha toa ushauri kwa Klabu yangu simba
1. Golikipa Hakuna ALIENDA Tabora.
2. Beki wa kati Hakuna.
3. Kiungo Mkabaji No 6 hakuna.
4. Mshambuliaji MBADALA WA Baleke hakuna
Mkuu,atakayevuka robo ndo mwanaume,Usitufundishe namna ya kula na kipofu
Hiyo ndo kabisa kisukari nje njeBia basi
Halafu asisahau,kule hakuna penati za mchongo Wala maelekezo ya KariaKwa huu mpira wa papatu papatu!! Mtaita maji mma.
Robertinho asante kwa muda wako, tuna kutakia kila la kheri
Mawazo potofu, mpira ni mchezo wa hadharani, huna timu.Hata hivyo tumshukuru Mungu maana wale mabwege nazi wameroga sana ili tushindwe wakati mwingine tusikubali kuwaacha waanze kucheza wao kama tutatumia uwanja mmoja.
Sawa,Mashindano ya CAF.
Nipo sana sema si unajua mi ni ninja kuna muda napiga pigo la kupotea
Hamkulazimishwa,mngeipeleka mechi UhuruHata hivyo tumshukuru Mungu maana wale mabwege nazi wameroga sana ili tushindwe wakati mwingine tusikubali kuwaacha waanze kucheza wao kama tutatumia uwanja mmoja.