FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Mimi mtetezi namba moja wa Robertinho lakini hapa nakiri uwezo umeishia hapo. Timu irudi kwa Mgunda tupate kocha serious zaidi!

Binafsi nilitegemea changes kubwa mno leo lakini imekuwa worse. Its enough, uvumilivu unatosha.
Mmeanza kusema ukweli sasa , ukweli hukuweka huru
 
Robertinho asante kwa muda wako, tuna kutakia kila la kheri

Itabidi nianzishe mada…
Tatizo si Robertnho..
anaweza kuwa na Tatizo ila Tatizo kubwa ni Ndani ya wachezaji hasa wazawa kulogana..
Tulishalizungumza hili..
na wanafahamika mbona!
Kazi yao ni Kulogawachazji wageni ingawa hata wao hawafanyi vema…
Thimba Tatizo wanaamini ktk Kuloga.
Wenzao Yanga Uchawi upo, lakini ni nje ya uwanja…
Hakuna Mchezaji anaemloga mwenzie!
Thinba wanaologa mpaka wanalindwa na Uongozi![emoji30]
 
Hata hivyo tumshukuru Mungu maana wale mabwege nazi wameroga sana ili tushindwe wakati mwingine tusikubali kuwaacha waanze kucheza wao kama tutatumia uwanja mmoja.
Mawazo potofu, mpira ni mchezo wa hadharani, huna timu.

Al Ahaly watawaonesha dhahiri panavuja.
 
Hata hivyo tumshukuru Mungu maana wale mabwege nazi wameroga sana ili tushindwe wakati mwingine tusikubali kuwaacha waanze kucheza wao kama tutatumia uwanja mmoja.
Hamkulazimishwa,mngeipeleka mechi Uhuru
 
Back
Top Bottom