FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

NiliIsha toa ushauri kwa Klabu yangu simba

1. Golikipa Hakuna ALIENDA Tabora.

2. Beki wa kati Hakuna.

3. Kiungo Mkabaji No 6 hakuna.

4. Mshambuliaji MBADALA WA Baleke hakuna
Boss, ulishatoa ushauri sawa ila kwa sasa huu si wakati wa usajili tena hapa tulichonacho ndo tunachotakiwa kufanya nacho kazi. Mambo ya nili nili ni past tense, unless unataka tukupigie makofi kwa ushauri ulioutoaga.
 
Yanga wanafanya the opposite,mchezaji wakiachana nae vibaya ndio wanamrogs huko aendako asishine
 
Kikanuni ndio nini?

We unafikiri Simba inacheza tu mpira bils mipango?

Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli.
Kikanuni ndo nini?

Umefika makundi kwa kushinda game ipi? ebu taja ...

Umeingia kwa kanuni za kipuuzi za goli la ugenini, kanuni ambazo Ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa .. au kuna game mmeshinda mzee? [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…