FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

NiliIsha toa ushauri kwa Klabu yangu simba

1. Golikipa Hakuna ALIENDA Tabora.

2. Beki wa kati Hakuna.

3. Kiungo Mkabaji No 6 hakuna.

4. Mshambuliaji MBADALA WA Baleke hakuna
Boss, ulishatoa ushauri sawa ila kwa sasa huu si wakati wa usajili tena hapa tulichonacho ndo tunachotakiwa kufanya nacho kazi. Mambo ya nili nili ni past tense, unless unataka tukupigie makofi kwa ushauri ulioutoaga.
 
Mkuu natamani hata Labda ungeanzisha uzi ya kuwa Tatizo la Simba ni Kulogana wachezaji haswa wazawa kuwaloga wageni!
Wageni wengi wazuri wakija simba wanapoooa mnoo!
Mbona inafahamika hii!
Watu wanawaloga sanaa ili wawe majeruhi au hata wakicheza wasiwe fit!
Hata wachezaji wageni walishalisema hili!
Yanga hakuna kulogana!
wanaloga nje ya Uwanja tuu!
Hakuna Mchezaji yanga anaeloga…Niambie hata kwa fununu nani Mchezaji yanga analoga??
Ila simba wanafahamika na hawachukuliwi hatua sababu hata Uongozi wenyewe unategemea kuloga ili uendelee kuwepo
Kuna Kipindi baadhi ya Wachezaji wa nje walikiri kabisa wakiwa nje ya Simba wana viwango vikibwa mnno…
ila wakija simba wanapooza!
Ni Prove wrong kwa hili kaka![emoji30]
Yanga wanafanya the opposite,mchezaji wakiachana nae vibaya ndio wanamrogs huko aendako asishine
 
Kikanuni ndio nini?

We unafikiri Simba inacheza tu mpira bils mipango?

Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli.
Kikanuni ndo nini?

Umefika makundi kwa kushinda game ipi? ebu taja ...

Umeingia kwa kanuni za kipuuzi za goli la ugenini, kanuni ambazo Ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa .. au kuna game mmeshinda mzee? [emoji2]
 
Back
Top Bottom