Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Mfano ni Yikpe na DoumbiaTatizo wanalogana wachezaji haswa wazawa sanaaa kwa kuwaloga wageni!
ndio maana Mchezaji akija thimba tuu kiwango chaliiii[emoji30]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ni Yikpe na DoumbiaTatizo wanalogana wachezaji haswa wazawa sanaaa kwa kuwaloga wageni!
ndio maana Mchezaji akija thimba tuu kiwango chaliiii[emoji30]
Sisi hatuwezi kuweka mikakati mikubwa kwenye mechi ya kufuzu kuingia makundi.Kwa mbinde.
yenye forwads inafuzu kwa mujibu wa kanuni .... [emoji23]Watakuambia Yanga haina forward wakati forward zetu zimefunga nyumbani na ugenini
Kibwana amuweke Yao benchi? Kwa kipi?Ndio hivyo hivi kwanini mchezaji mzuri kama Kibwana hapangwi Tena kikosi cha kwanza?
Kikanuni ndio nini?Ila yenu mliovuka kikanuni ndo mnayo miguu? ... mmevuka bila kushinda game hata moja. [emoji3]
Mnaweka wapi mikakati mikubwa sasa maana huko mnakoeka hamjawahi kukaa kufanikiwa.Sisi hatuwezi kuweka mikakati mikubwa kwenye mechi ya kufuzu kuingia makundi.
Ngoja tusubiri maamuzi ya CAF, haiwezekani Simba waseme wamefuzu wakati tunaona kabisa hawajashinda mechi yoyoteMmefuzu kwa kushinda game ipi mzee? ...
Boss, ulishatoa ushauri sawa ila kwa sasa huu si wakati wa usajili tena hapa tulichonacho ndo tunachotakiwa kufanya nacho kazi. Mambo ya nili nili ni past tense, unless unataka tukupigie makofi kwa ushauri ulioutoaga.NiliIsha toa ushauri kwa Klabu yangu simba
1. Golikipa Hakuna ALIENDA Tabora.
2. Beki wa kati Hakuna.
3. Kiungo Mkabaji No 6 hakuna.
4. Mshambuliaji MBADALA WA Baleke hakuna
Yanga wanafanya the opposite,mchezaji wakiachana nae vibaya ndio wanamrogs huko aendako asishineMkuu natamani hata Labda ungeanzisha uzi ya kuwa Tatizo la Simba ni Kulogana wachezaji haswa wazawa kuwaloga wageni!
Wageni wengi wazuri wakija simba wanapoooa mnoo!
Mbona inafahamika hii!
Watu wanawaloga sanaa ili wawe majeruhi au hata wakicheza wasiwe fit!
Hata wachezaji wageni walishalisema hili!
Yanga hakuna kulogana!
wanaloga nje ya Uwanja tuu!
Hakuna Mchezaji yanga anaeloga…Niambie hata kwa fununu nani Mchezaji yanga analoga??
Ila simba wanafahamika na hawachukuliwi hatua sababu hata Uongozi wenyewe unategemea kuloga ili uendelee kuwepo
Kuna Kipindi baadhi ya Wachezaji wa nje walikiri kabisa wakiwa nje ya Simba wana viwango vikibwa mnno…
ila wakija simba wanapooza!
Ni Prove wrong kwa hili kaka![emoji30]
Wacongo wa uto ndiyo hawakuwamuduMfano ni Yikpe na Doumbia
Sasa Wale ni Wakimbizi,mngekuwa na Forward sio wakufunga moja tuyenye forwads inafuzu kwa mujibu wa kanuni .... [emoji23]
Kikanuni ndo nini?Kikanuni ndio nini?
We unafikiri Simba inacheza tu mpira bils mipango?
Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli.
Mmepitishwa na kanuni, sio kushinda game. Uwezo haupo.Ngoja tusubiri maamuzi ya CAF, haiwezekani Simba waseme wamefuzu wakati tunaona kabisa hawajashinda mechi yoyote
HaswaaaKunywa alkasusus sasa
Kutoka mwakarobo hadi goli la ugenini,yaani hadi aibu.Mmepita kikanuni au sio? [emoji3]
Kujifunga kwa huyo beki kulisababishwa na nini?Kwahyo bila kujifunga hii mechi ndo ilikuwa mpaka msimu ujao
Nimeuliza wameshinda game gani, hawana jibu ... alafu wanakataa wamepita kwa kanuni ... [emoji23]Kutoka mwakarobo hadi goli la ugenini,yaani hadi aibu.
Sent from my CPH2481 using JamiiForums mobile app
LolBali?