FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Mmefuzu kwa kushinda game ipi mzee? ...
Hii ni mara ya pili msimu huu Simba wanapendelewa waziwazi. Kwenye Ngao ya Hisani hao Simba hawakushinda hata mechi moja lakini wakakabidhiwa ushindi wa Ngao na medali. CAF nao wanarudia makosa ya TFF, yaani Simba haishindi halafu wanapewa ushindi. Kuna harufu ya rushwa
 
Unajua huwa nakujazaga upepo tu leo naona umejibu vizuri. Haina shida bro japo butua butua FC wamepata dondokela tu. Hamna kitu.
 
Yes. Ni kanuni FC. Uwezo wa kumaliza game uwanjani hamna.
 
Kati ya Simba na nani?

Gongowazi???

You gotta be kidding!!! Wachezaji wenu hawana miguu ya kuwafikisha robo Club Bingwa.
Aahaaaaaa,mkuu atakayevuka robo ndo mwanaume hapa Tanzania
 
Reactions: BRN
Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Mkuu huu si wakati wake. Uwateme halafu umchezeshe nani? Wanahitaji motisha maana ndo waliopo.

Hata kama jembe lina kasoro iwapo mvua zimekaribia sana na umechelewa kurekebisha kasoro, mvua hazitasubiri utengeneze jembe, hapa ni kulitumia hivyo hivyo ilimradi shamba liwe sawa mvua zikute mbegu ipo chini.
 
Yes. Ni kanuni FC. Uwezo wa kumaliza game uwanjani hamna.
Mzee kunywa maji utulie na familia. Mpira wa miguu utakuua, familia itabaki inateseka, Wala Hersi hatatoa rambirambi maana mko wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…