Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hivi kibonge mikisoni yupo ??Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kibonge mikisoni yupo ??Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Hii ni mara ya pili msimu huu Simba wanapendelewa waziwazi. Kwenye Ngao ya Hisani hao Simba hawakushinda hata mechi moja lakini wakakabidhiwa ushindi wa Ngao na medali. CAF nao wanarudia makosa ya TFF, yaani Simba haishindi halafu wanapewa ushindi. Kuna harufu ya rushwaMmefuzu kwa kushinda game ipi mzee? ...
Yeye kupiga mpira golini kwao.Kujifunga kwa huyo beki kulisababishwa na nini?
Unajua huwa nakujazaga upepo tu leo naona umejibu vizuri. Haina shida bro japo butua butua FC wamepata dondokela tu. Hamna kitu.Tuko jukwaa Jingine hili Jua kutofautisha Kila jukwaa na Mambo yake ndo nyinyi mnamlazimisha Mchungaji wenu ashindwe fanya hata mambo yanayomuhusu kwa kuogopa jamii itamuonaje ndo maana nasemaaga siku zote dini ni utumwa na mimi si miongoni mwa watumwa....
Tuenjoy Mpira kaka 1:1 huko umeona bocco katupia
Yes. Ni kanuni FC. Uwezo wa kumaliza game uwanjani hamna.Hii ni mara ya pili msimu huu Simba wanapendelewa waziwazi. Kwenye Ngao ya Hisani hao Simba hawakushinda hata mechi moja lakini wakakabidhiwa ushindi wa Ngao na medali. CAF nao wanarudia makosa ya TFF, yaani Simba haishindi halafu wanapewa ushindi. Kuna harufu ya rushwa
Aahaaaaaa,mkuu atakayevuka robo ndo mwanaume hapa TanzaniaKati ya Simba na nani?
Gongowazi???
You gotta be kidding!!! Wachezaji wenu hawana miguu ya kuwafikisha robo Club Bingwa.
Wewe TEAM yako yenye uwezo mara ya mwisho kufunga Simba lini?Mmepitishwa na kanuni, sio kushinda game. Uwezo haupo.
Hivi hatujui kuwa aliyeshinda aggregate ya mabao 7-0 anapitishwa na kanuni?Mmepitishwa na kanuni, sio kushinda game. Uwezo haupo.
Mkuu huu si wakati wake. Uwateme halafu umchezeshe nani? Wanahitaji motisha maana ndo waliopo.Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Kwa tabu kweli ila tumeingia makundiWana thimbaa oooh kwa taabu na mtakoma
Atakayevuka robo kati ya Yanga na Simba hapa bongo ndo atakuwa kidumeNak
Nakazia
Mzee kunywa maji utulie na familia. Mpira wa miguu utakuua, familia itabaki inateseka, Wala Hersi hatatoa rambirambi maana mko wengiYes. Ni kanuni FC. Uwezo wa kumaliza game uwanjani hamna.
Kapata la ugenini,vizuri sanaSingida kachomoa