Msimu huu kwa Simba mpaka sasa..Imeisha.
Simba ni kubwa
Umeshachoma?Hili goli halirudi na likirudi nachoma kilinge na tunguli zake zote.
Hii komenti baada ya dynamos kujifunga imenichekesha sana π€£WTF?
Asifukuzwe kwanza mpaka amalize mechi za CAF CL.Simba ni moja ya timu zenye wachezaji wazuri sana katika ukanda wetu wa Africa mashariki na kati, tatizo ninaloliona kwa simba japo mimi sina taaluma ya ukocha ila naona mbinu na falsasa za Robertinho zimekwama. Tunashuhudia timu ikicheza bila malengo, hakuna maelewano kwa wachezaji uwanjani na zaidi ya yote timu haina muunganiko kabsa. Ni vema viongozi wa simba wakachukua hatua za haraka kwanza kwa kumfuta kazi kocha Robertinho kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Huko South na ligi nyingine kubwa hakuna mambo ya likizo, miaka nenda rudi tunashiriki ila bado tunayaona haya mashindano kama deal sana kiasi cha kuzipa team zinazoshiriki muda wa wiki mbili.