FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Hiyo pisi ya power dynamos hapo mmeizingatia lakini ?
 
Joto limepanda sana
 
Haya ndo maisha yetu, tupo nyumbani.

Azam jambo la uchukuaji picha bado ni changamoto.
 
Mbungi linaanza dakika chache sana zijazo
 
Game On 🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…