FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Mnataka kufanya kama jirani zenu mpate matokeo second half. OK nabii yuko mapumziko mnaweza mpigia simu aje kuokoa jahazi
 
Hawa Power Dynamos ni mbovu sijui simba wanakwama wapi
 
Game On
Dak 42"
Simba SC 0 - 1 Power Dynamos
(2-3 on Aggregate)
 
Back
Top Bottom