Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
AhaaaaaaNaitwa Dotto kutoka Nyakanazi. Naitakia Pawa Dainamo ushindi wa goli mbili. Ujumbe, michezo ni upendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaaaaaNaitwa Dotto kutoka Nyakanazi. Naitakia Pawa Dainamo ushindi wa goli mbili. Ujumbe, michezo ni upendo.
😂😂😂Yamekuwa hayo tena
Hahahaaa!Makolo ondoeni hofu pamoja na timu yenu mbovu ila mtashinda hui game
Sawa mkuuTukifunga tutarekebisha
Unamaanisha amezeeka?Ntibazonkiza mwenyewe kazi kubwa ni kupoteza mipira tu hana jipya
Kubwa ni kwenda makundi hakuna kujipa moyo...
Tuliza mshonoMbili ya nyoko?
Nipo jamani niliwaambia tukutane saa 12...
ItakuaNafikiri Mod ni kolo.
Hata akipasha hapati motoBoko anapasha