FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.

Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.

Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Ikumbukwe Mechi ya Round ya kwanza kule Zambia kwenye dimba la Levy Mwanawasa timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Mpambano wa leo utaamua atakayeingia Makundi.

Je, ni Simba kama kawaida yetu?

Tukutane hapa kwa updates zaidi.

Unyama mwingi.
#nguvumoja#

Updates...
Dakika ya 16'
Power Dynamos wanapata Goli la kuongoza
Wekeni matokeo hasi kwenye heading!
 
Back
Top Bottom