Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 Simba wasiposhinda au kutoa sare hii game watauanaHata akipasha hapati moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 Simba wasiposhinda au kutoa sare hii game watauanaHata akipasha hapati moto
Naona kama haziendiMbona kama dakika zinakimbia sana. Kuna mwingine nae kagundua!?
Huenda misuli inakataa.Hawana Kasi mipira inapigwa wapinzani wanaiwahi...wazito haswaa
Si mlisema mmesajili jaman.Simba imejaza machezaji ambayo ni useless
Aahaaaaa anafikiri tumesahauModerator kazira[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Weka matokeo hapo juu haibadilishi maana yoyote
Yani mpaka wajambe leoAahaaaaa,ukuta chaliiiiiiii
Wekeni matokeo hasi kwenye heading!Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.
Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.
Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.
Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Ikumbukwe Mechi ya Round ya kwanza kule Zambia kwenye dimba la Levy Mwanawasa timu hizi zilitoka sare ya 2-2.
Mpambano wa leo utaamua atakayeingia Makundi.
Je, ni Simba kama kawaida yetu?
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Unyama mwingi.
#nguvumoja#
Updates...
Dakika ya 16'
Power Dynamos wanapata Goli la kuongoza
AahaaaaaaYani mpaka wajambe leo
Kazoea magoli ya kuotea na timu Kama polisi unitedHuyu baleke kila
Mechi kubwa ni mvurugaji tu
Mto wenyewe zambezi 😂Naitwa Kilimba toka Iramba,ningependa kuwatumia salamu mtani wangu GENTAMYCINE Scars na Greatest Of All Time
Ujumbe usitukane mamba kabla a kuvuka mto
Mods wameziraWekeni matokeo hasi kwenye heading!
AhaaaaaaaaaaaMto wenyewe zambezi 😂