Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aingie naniHivi ni Mimi tu ninayetaka Ngoma asirudi kipindi cha pili au tuko wengi?
SARE WATOE KUANZIA GOLI TATUHahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Simba wasiposhinda au kutoa sare hii game watauana
Sawa kupishana maoni ni kawaida.Miye nakataaaa,awepo kipindi Cha pili
Wajitahidi Swahiba kwani bila hivyo ngumi zitalika leo pale Uwanjani.Half time dynamos washakumbana na midawa huko vyumbani wakirudi awatoboi
PutinAingie nani
Uliwekaje!?Wale wazee wenzangu wa kubeti mkosi umeendelea kutuandama tena
Wanashika nafasi ya 86 kwenye viwango vya CAF, lakini wanaruka nae Simba ngadu tu ngadu.Hawa Power Dynamos ni mbovu sijui simba wanakwama wapi
Daaah🤣🤣Naitwa Kilimba toka Iramba,ningependa kuwatumia salamu mtani wangu GENTAMYCINE Scars na Greatest Of All Time
Ujumbe usitukane mamba kabla a kuvuka mto
HahahhaAahaaaaaa,mods wamezira
Tumezidiwa hatuna mbinu mpk hapo wametukimbizaHatujui mpira jamani
Mpira wetu mchafu
Tuwe wakweli tu
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ulitempa sifuri tayari ana mojaHii ndio mechi sasa sio wale pwagu na pwaguzi waliocheza jana.
FT. SIMBA SC 3 VS 0 POWER DYNAMOS.
KILA LA KHERI SIMBA.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaah🤣🤣