FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Kikwete, Sunday Manara + Shimba ya Buyenze ndio Yanga pekee wenye akili

Nimerekebisha orodha ya buggati 😂
Mkuu....

Japo kuna raha ya kipekee huwa naipata Makolo wakifungwa ila leo naomba washinde ili sote tusonge mbele tukaliwakilishe taifa letu.

Hata komredi mzalendo Mwashambwa nadhani atakubaliana na mimi
 
Timu yangu niipendayo power dynamos ongezeni la mwisho niwahi nyumbani nakaa mbali mie shabiki wenu kipenzi
FB_IMG_1696167948970.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom