Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Wameshaweka mkuuSasa naamini wataweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshaweka mkuuSasa naamini wataweka
Hasara kwa Simba Sc hasa baada ya kukivuruga kikosi chake (ukabaji) akiwa kwenye harakati za kusawazisha.Sasa hivi naona kila mtu atafungulia........ hamna atakaye defense.
Simba wawe makini sana hasa Ngoma hasipande sana.Hasara kwa Simba Sc hasa baada ya kukivuruga kikosi chake (ukabaji) akiwa kwenye harakati za kusawazisha.
Morali.Kikwazo nini mnaoangalia huko kutopatikana la pili na la tatu mpaka sasa[emoji35][emoji35][emoji35]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kanute hayupo bench?Hii game bado ni ngumu, hasa ukizingatia hatuna wakabaji wa maana kwenye kikosi tena.
Hata ikitokea, kuendelea kuwa na imani juu ya Robertinho ni kujidanganya.Amin Mkuu tutashinda leo na kwenda makundi ni lazima [emoji881]
Ukiwaona hapa wakanyage 😂😂Muda wa vyura kurudi kwenye maji sasa
Extra time afu ndo matutaWakitoka 1-1 wanapiga matuta ama?
Hizo akili hana huyo mjinga.Kocha ingiza KANOUTE tukalinde..
AmeshawasikilizaHizo akili hana huyo mjinga.
Nani kakudanganya???Extra time afu ndo matuta