FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Mimi mtetezi namba moja wa Robertinho lakini hapa nakiri uwezo umeishia hapo. Timu irudi kwa Mgunda tupate kocha serious zaidi!

Binafsi nilitegemea changes kubwa mno leo lakini imekuwa worse. Its enough, uvumilivu unatosha.

Mkuu natamani hata Labda ungeanzisha uzi ya kuwa Tatizo la Simba ni Kulogana wachezaji haswa wazawa kuwaloga wageni!
Wageni wengi wazuri wakija simba wanapoooa mnoo!
Mbona inafahamika hii!
Watu wanawaloga sanaa ili wawe majeruhi au hata wakicheza wasiwe fit!
Hata wachezaji wageni walishalisema hili!
Yanga hakuna kulogana!
wanaloga nje ya Uwanja tuu!
Hakuna Mchezaji yanga anaeloga…Niambie hata kwa fununu nani Mchezaji yanga analoga??
Ila simba wanafahamika na hawachukuliwi hatua sababu hata Uongozi wenyewe unategemea kuloga ili uendelee kuwepo
Kuna Kipindi baadhi ya Wachezaji wa nje walikiri kabisa wakiwa nje ya Simba wana viwango vikibwa mnno…
ila wakija simba wanapooza!
Ni Prove wrong kwa hili kaka![emoji30]
 
Ili mkaaibike huko..😂
Tuaibike kivipi ofsa?

Ebu niambie ni mechi ngapi ambazo Simba amecheza na amekua akiambiwa hachezi vizuri na wakimtabiria kufeli kwenye mechi zijazo?

Na kati ya hizo mechi, moja tumecheza naye huyo ambaye yeye anajigamba anacheza vizuri.

Matokeo ya mwisho yalikuwaje?

Anayecheza vizuri alikuwa na on target moja sawa na asiyecheza vizuri.

Kwenye matuta, kapasuka. Kafungwa na asiyecheza vizuri.

So mtastuka tumechukua kombe na bado mko na kauli hizo hizo kama mlivyokuwa mnajifariji baada ya kuwavua ubingwa wa ngao.
 
NiliIsha toa ushauri kwa Klabu yangu simba

1. Golikipa Hakuna ALIENDA Tabora.

2. Beki wa kati Hakuna.

3. Kiungo Mkabaji No 6 hakuna.

4. Mshambuliaji MBADALA WA Baleke hakuna

Tatizo wanalogana wachezaji haswa wazawa sanaaa kwa kuwaloga wageni!
ndio maana Mchezaji akija thimba tuu kiwango chaliiii[emoji30]
 
Mpira kuna wakati uko kama bahati nasibu mkuu.
Mfano mzuri leo tena simba walizidiwa kila kitu, hadi wamesaidiwa kufunga.

Niamini ipo siku watakutana fainali
Kuzidiwa kila kitu kivipi? Huwa unafuatilia mpira kweli ama wewe ni shabiki andazi?

Simba vipindi vyote viwili ameongoza ball possession na kupeleka moto kwa mpinzani halafu unasema wamezidiwa?
 
Mimi mtetezi namba moja wa Robertinho lakini hapa nakiri uwezo umeishia hapo. Timu irudi kwa Mgunda tupate kocha serious zaidi!

Binafsi nilitegemea changes kubwa mno leo lakini imekuwa worse. Its enough, uvumilivu unatosha.
Tunahitaji mtu mwenye mipango inayofanana na uwakilishi wa simba kwenye michuano ya soka la Africa.
 
Back
Top Bottom