Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwa misimu minne mfululizo Mamelod wamekuwa wakiishia robo fainali kama Simba ni msimu huu pekee ndiyo wamefika Semi final.Kulinganisha Simba inayoishiaga robo fainal na Mamelody ambao wamekuwa wakibeba hili kombe inahitaji uchizi flan hivi
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Msimu uliopita walitolewa na Petro De Luanda QF.
Msimu wa 2021 QF walitolewa na Al Ahly
Msimu wa 2020 walitolewa na Al Ahly pia.