FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

Wale waliokuwa wanamshangaa Robertinho kwa tabia yake ya kuchelewa kufanya sub.

Angaliemi hii dakika ya 75 hakuna sub iliyofanyika.

Na hapo ilitegemewa pengine ndio angekuwa wakwanza kufanya sub kwasababu game plan yake ishakuwa ruined kwa kupungukiwa na mchezaji mmoja.

Lakini mpaka dakika hii Wydad kafanya sub nne huku Mamelody wakiwa vile vile kama walivyoingia.

Kalpana
Sasa nakuelewa Scars ..kumbe mwalimu anakua na sababu zake
 
Yaaaaani daaah hawa Wydad jamani ni zile dua walizopiga pale uwanjani ziliwasaidia...naumia nikikumbuka..
 
Ni commententor mzuri ila ana kautimu, ana kaumamelodi Scars, mtangazaji hatakiwi kuwa hivyo
Mimi ni Mamelody toka nitoke.

Kwanza kila mtanzania anasababu tele kusapoti Mamelody

Ukiachana na sisi tulivyo influence SA kupata uhuru ebu jaribu kuangalia tu mfanano wa jezi za Taifa Stars na Mamelody....huoni kuna kitu hapo, unadhani hiyo ni coincidence?
 
Kuna sababu gani zaidi ya rangi!! Au sio kweli? Na yale mauwaji ya wafanyabiashara wa nje kuuawa na wasauzi kama sikosei hata wabongo liliwakuta hilo,

Haya niambie sababu za kutowashabikia wakaskazini!!
 
Sio rangi, kwanza waarabu wengi wanaji isolate wenyewe kujitofautisha na sisi kwa kujinasubu kuwa wao ni waarabu na sio waafrika.

Lakini kwenye mapenzi ya timu hilo huwa halijawahi kuwa sababu yenye nguvu.

Mimi binafsi naikubali Mamelody kwa mpira mkubwa inaocheza na wala sababu zangu hazijajikita kwenye maswala ya races
 
Sio rangi, kwanza waarabu wengi wanaji isolate wenyewe kujitofautisha na sisi kwa kujinasubu kuwa wao ni waarabu na sio waafrika.
Uliwahi kuwasikia wakijitofautisha au kujinasubu? Mbona nchi zao wamejaa tele waeusi na wanaishi kwa pamoja bila kuingiza ubaguzi!!, ukweli usio pingika wao ni waarabu na wewe ni mwafrika, sasa unalazimisha wajiite waafrika ilhali ni waarabu! ALEYOMBA GEKKE mayahudi yajiite waarabu kwakua wanaishi middle east? Hapa sioni shida wao kujiita waarabu kwakua ni waarabu
Lakini kwenye mapenzi ya timu hilo huwa halijawahi kuwa sababu yenye nguvu.
Mimi binafsi naikubali Mamelody kwa mpira mkubwa inaocheza na wala sababu zangu hazijajikita kwenye maswala ya races
Hapo sawa
 
Back
Top Bottom