Kwa misimu minne mfululizo Mamelod wamekuwa wakiishia robo fainali kama Simba ni msimu huu pekee ndiyo wamefika Semi final.Kulinganisha Simba inayoishiaga robo fainal na Mamelody ambao wamekuwa wakibeba hili kombe inahitaji uchizi flan hivi
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mbna naona kabisaa Mamelod kakosa hili kombe, maana figisu za kadi nyekundu holela zishaanza muandamaa. Inaumiza mnooooWamekutana hatua Gani mkuu??? Al ahly anafungwa na Simba Al ahly anafungwa na Al hilal Al ahly anafungwa na esperance kwenye makundi syo finally Mzee Yule mbwa Hana masihara anapoona kombe na mamelod sundowns akikosa hili kombe inatakiwa ajutie mwenyewe Kwa Nini alimbania Al hilal??
Hilo swala mbona lipo open sana wala halihitaji mjadala.Uliwahi kuwasikia wakijitofautisha au kujinasubu? Mbona nchi zao wamejaa tele waeusi na wanaishi kwa pamoja bila kuingiza ubaguzi!!, ukweli usio pingika wao ni waarabu na wewe ni mwafrika, sasa unalazimisha wajiite waafrika ilhali ni waarabu! ALEYOMBA GEKKE mayahudi yajiite waarabu kwakua wanaishi middle east? Hapa sioni shida wao kujiita waarabu kwakua ni waarabu
Hapo sawa
Huyo jamaa anakupeleka kwenye angle anayotaka ili mbishane nadhani ungeachana nae kimsingi ukiweka Mamelody na Wydad Kila mtu atachagua kile anapenda na atakuwa na sababu zake na kwenye soka ni hizo sababu zinatufanya tupende mpira tushangilie bila kukoma Wala kuchokaHilo swala mbona lipo open sana wala halihitaji mjadala.
Fainali za kombe la dunia uliwasikia kauli uao walipoingia robo fainali hadi baadaye wakajakuomba msamaha?
Wao ni waarabu hatukatai, ila wao hawaishii kusema ni waarabu tu. Wanadai wao ni waarabu wakipinga kuwa wao sio waafrika.
Sasa hiyo inakupa tafsiri gani?
Hilo swala mbona lipo open sana wala halihitaji mjadala.
Fainali za kombe la dunia uliwasikia kauli uao walipoingia robo fainali hadi baadaye wakajakuomba msamaha?
Wao ni waarabu hatukatai, ila wao hawaishii kusema ni waarabu tu. Wanadai wao ni waarabu wakipinga kuwa wao sio waafrika.
Sasa hiyo inakupa tafsiri gani?
Mbna naona kabisaa Mamelod kakosa hili kombe, maana figisu za kadi nyekundu holela zishaanza muandamaa. Inaumiza mnoooo
Figisu gani hizo? Kumkanyaga mwenzio ndio figisu!! Ingelikua ndio wydad amemkanyaga wa mamelodi ungekuja kulalamika hapa!!!Mbna naona kabisaa Mamelod kakosa hili kombe, maana figisu za kadi nyekundu holela zishaanza muandamaa. Inaumiza mnoooo
VAR kwa ngozi nyeusi tu?Hizi VAR hizi sometimes
Yaan kabisaaa.Wiki hii VAR inaona offside za timu ambazo zipo away tu
The sundowns will humiliate waydad in the next game
Hivi waarabu una undugu nao? Maana Tokea world cup ulikuwa upo na waarabu wakati kwenu usukumani unashindia michembeKwa al ahly hachomoki huyo mzulu, tutamlaa
Hivi waarabu una undugu nao? Maana Tokea world cup ulikuwa upo na waarabu wakati kwenu usukumani unashindia michembe
Upo sahihi mkuu ...ni sawa nakulinganisha Timu iliyoishia Robo Fainali ya Champions League mara nne na Timu inayoishiaga " Hatua za awali ! Lazima uwe una mtindio wa Ubongo!Kulinganisha Simba inayoishiaga robo fainal na Mamelody ambao wamekuwa wakibeba hili kombe inahitaji uchizi flan hivi
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mtindio mkubwa zaidi wa akili ni kulinganisha timu inayoishia robo fainali kila mara na timu inayotafuta nafasi ya kuingia fainali.Upo sahihi mkuu ...ni sawa nakulinganisha Timu iliyoishia Robo Fainali ya Champions League mara nne na Timu inayoishiaga " Hatua za awali ! Lazima uwe una mtindio wa Ubongo!
Mtindio mkubwa zaidi wa akili ni kulinganisha timu inayoishia robo fainali kila mara na timu inayotafuta nafasi ya kuingia fainali.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo???Huyu Sven Vanderbrok akumbuke CV yake ya kuwa kocha bora ameipatia Simba
Na ukitaka kujua kichwani Kwa mtu Kuna maji au Ubongo ni ..tabia ya kulinganisha na kuweka katika mizani sawa vitu visivyofanana!Mtindio mkubwa zaidi wa akili ni kulinganisha timu inayoishia robo fainali kila mara na timu inayotafuta nafasi ya kuingia fainali.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app