FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Azam wamekandwa [emoji1787][emoji16][emoji16]
Azam ni kichwa cha mwendawazimu, walikuwa na mtaji wa goal 1 la nyumbani eti wakaenda kupaki Bus ugenini!? Mtaji huo ndo wakupaki basi kweli!? Kwa game inavyokwenda watakandwa nyingi sana, sidhani kama kocha wao anatumia akili sawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…