FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Screenshot_20240824-190213_1.jpg

Ety yanga ina nipa raha.......
min -me
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC
📆 24.08.2024
🏟 Azam Complex
🕖 19:00

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko


View attachment 3077930
Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL

#GoliLaMama
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko


View attachment 3078195
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0

Dakika ya 2
Kibabage anachezewa madhambi chama anapiga Free kick anakosa Yanga SC wanapata Kona ya kwanza

Dakika ya 3
Yanga SC wanapata Kona ya pili

Dakika ya 6
Yanga SC wanapata Kona ya 3 wanakosa goli la wazi mzize kapaisha


Dakika ya 10
0-0

Dakika 11
Yanga wanafanya shambulizi mchezaji wa Vital'O anadaka mpira anapewa kadi nyekundu na amesababisha penati


Dakika ya 12
Goooooal pacome

Dakika ya 15
Yanga 1-0 Vital'O
Kila la kheri Young Africans
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Tanzania kuna amani tele ila mbona Simba aligongwa 5 mkuu?
 
Katika ligi ya Tanzani kwasasa nadhani Pacome ndiye mchezaji mwenye akili nyongi sana ya mpira.
 
Dakika ya 35 vital hawajakanyaga hata nusu ya uwanja.....😂😂😂

Wanachezeshwa kwao tu
Huku kwenye Live Score kunaonyesha Vital'O wapo pungufu tangu dakika ya 14 (red card), ni kweli?
 
Yaani utadhani naangalia mpiara wa chandimu wa watoto shule ya msingi.wakizidiwa tu speed ama wakiona hatari wanakupush mpaka nachoka.
Very unprofessional
Mwamba aliechukua nafasi ya goal keeper kanifurahisha🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom