princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Na achana na hao wa sub wapo tena wengine hata sub hawapo hapo ndo tunachoka kabisa😂😂😂Hakuna tofauti ya First eleven ya Yanga na wale wa akiba, timu moto ni ule ule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na achana na hao wa sub wapo tena wengine hata sub hawapo hapo ndo tunachoka kabisa😂😂😂Hakuna tofauti ya First eleven ya Yanga na wale wa akiba, timu moto ni ule ule.
Mbona DRC pia kuna vita lakini TP mazembe wapo vizuri? Ukiwa makolo hata akili inakuwa haipo Sawa 🤔Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya
Ngoja kesho tuwatazame Simba uone wanavyotafuta matokeo kwa shida.Na achana na hao wa sub wapo tena wengine hata sub hawapo hapo ndo tunachoka kabisa😂😂😂
Vipi wale walogongwa goli 5 November 5 mwaka jana?yanga kwa kupiga mabomu mochwari
Kila la kheri Young Africans🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC
📆 24.08.2024
🏟 Azam Complex
🕖 19:00
#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3077930
Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL
#GoliLaMama
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3078195
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0
Dakika ya 2
Kibabage anachezewa madhambi chama anapiga Free kick anakosa Yanga SC wanapata Kona ya kwanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanapata Kona ya pili
Dakika ya 6
Yanga SC wanapata Kona ya 3 wanakosa goli la wazi mzize kapaisha
Dakika ya 10
0-0
Dakika 11
Yanga wanafanya shambulizi mchezaji wa Vital'O anadaka mpira anapewa kadi nyekundu na amesababisha penati
Dakika ya 12
Goooooal pacome
Dakika ya 15
Yanga 1-0 Vital'O
Tanzania kuna amani tele ila mbona Simba aligongwa 5 mkuu?Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.
Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.
Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Polee sanaHuku tulipo TANESCO wanacheza na furaha yetu...
Umeishika pabaya hiyo Kolo.Tanzania kuna amani tele ila mbona Simba aligongwa 5 mkuu?
Huku kwenye Live Score kunaonyesha Vital'O wapo pungufu tangu dakika ya 14 (red card), ni kweli?Dakika ya 35 vital hawajakanyaga hata nusu ya uwanja.....😂😂😂
Wanachezeshwa kwao tu