Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapema sana nipo na tiketi ya VIP nasubiri mida ya saa kumi hivi jianze safari kuelekea chamazi!Mashabiki walala hoi.
Hamuendi Uwanjani
CBE ya Ethiopia maana hawa Sc villa jogoo wameshachapwa 1st preliminary round tena wakiwa kwaoYanga anakutana na nani next stage?
Goli ngapi maana isiwe walishinda kimokoambo yaka adilika huko ethiopia.CBE ya Ethiopia maana hawa Sc villa jogoo wameshachapwa 1st preliminary round tena wakiwa kwao
Una kigugumizi!?are you hyphenated !?Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.
Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.
Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mamazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Mgeni rasmi kutoka CAF atakuwa nani?𝐔𝐙𝐈𝐍𝐃𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀![]()
Naona Gamondi kafanya rotation ya kikosi