FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Au shida ni Hii nembo
1724521546549.jpg
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC
📆 24.08.2024
🏟 Azam Complex
🕖 19:00

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko


View attachment 3077930
Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL

#GoliLaMama
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko


View attachment 3078195
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0

Dakika ya 2
Kibabage anachezewa madhambi chama anapiga Free kick anakosa Yanga SC wanapata Kona ya kwanza

Dakika ya 3
Yanga SC wanapata Kona ya pili

Dakika ya 6
Yanga SC wanapata Kona ya 3 wanakosa goli la wazi mzize kapaisha


Dakika ya 10
0-0

Dakika 11
Yanga wanafanya shambulizi mchezaji wa Vital'O anadaka mpira anapewa kadi nyekundu na amesababisha penati


Dakika ya 12
Goooooal pacome

Dakika ya 15
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika ya 20
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika ya 26
Yanga SC wanafanya shambulizi

Dakika ya 28
Duke abuya anafanyiwa madhambi

Dakika ya 36
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika 39
Yanga wanapata Kona mwamnyeto anakosa goli la wazi

Dakika ya 45+2
Mzize kachezewa madhambi
Chama anapiga Free kick anakosa hapa


𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️’| #CAFCL
Young Africans SC 1-0 Vital’O FC

View attachment 3078273

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 45
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika ya 49
Mzizeeeeee⚽️

Dakika ya 51
Chamaaaaaaa anapiga faulo kamba goooal

Dakika ya 61
Yanga wanafanya mabadiliko anatoka duke anaingia mudathir
Anatoka musonda anaingia max

Dakika ya 64
Aziz k anafanyiwa madhambi anapiga Free kick ana Kosa hapa

Dakika ya 66
Mabadiliko anatoka mzize anaingia dube

Dakika ya 68
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 70
Young Africans SC 3-0 Vital’O FC

Dakika ya 71
Dubeeeeee goal chuma cha 4

Dakika ya 76
Mabadiliko anatoka pacome anaingia sure boy

Dakika ya 79
Goooooal Aziz k 😎

Dakika ya 85
YNG 5-0 VTL

Dakika ya 86
Mudaaaaathir kambaa chuma cha 6 😎
Kasheshe
 
Maisha ya soka ndivyo yalivyo unadhani kipindi aly Ahly /kaizer chiefs /wydad na timu zingine wanatufunga zile 5 5 hapa walikuaga wanatuchukuliaje?? Walikua wanajua wanakuja kutukanyaga waendelee na safari zao hatukua kitu kabisa! Ila tazama sasa sisi ndo tunawakanyaga watu watu wakija kwa mkapa huwa wanaogopa wanajua challenge accepted....
Ndo raha ya kukua mkuu enjoy
mbona kama vile unanishambulia binti yangu
 
Back
Top Bottom