Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kama waasi wamejificha humo ni kushusha iskander kutoka hapo kwa putinMabomu yanapigwa mochwari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waasi wamejificha humo ni kushusha iskander kutoka hapo kwa putinMabomu yanapigwa mochwari
Halafu wanasema hana furaha😂😂😂😂Kila goli la Yanga lazim lianze na Chama chama chama
Na wewe.Miamala SC
Max ajifunze kwa chamaMax punguza choyo
Hata wewe mwanetu tulikupa muamala ukapigwa 5Miamala SC
6 ww boya😂Warundi si bure, bahasha tupu. Red 2, Magoli 5.
Mbona wew haukupewa red na ukala 5 mwanetuWarundi si bure, bahasha tupu. Red 2, Magoli 5.
Kasheshe🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC
📆 24.08.2024
🏟 Azam Complex
🕖 19:00
#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3077930
Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL
#GoliLaMama
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3078195
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0
Dakika ya 2
Kibabage anachezewa madhambi chama anapiga Free kick anakosa Yanga SC wanapata Kona ya kwanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanapata Kona ya pili
Dakika ya 6
Yanga SC wanapata Kona ya 3 wanakosa goli la wazi mzize kapaisha
Dakika ya 10
0-0
Dakika 11
Yanga wanafanya shambulizi mchezaji wa Vital'O anadaka mpira anapewa kadi nyekundu na amesababisha penati
Dakika ya 12
Goooooal pacome
Dakika ya 15
Yanga 1-0 Vital'O
Dakika ya 20
Yanga 1-0 Vital'O
Dakika ya 26
Yanga SC wanafanya shambulizi
Dakika ya 28
Duke abuya anafanyiwa madhambi
Dakika ya 36
Yanga 1-0 Vital'O
Dakika 39
Yanga wanapata Kona mwamnyeto anakosa goli la wazi
Dakika ya 45+2
Mzize kachezewa madhambi
Chama anapiga Free kick anakosa hapa
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️’| #CAFCL
Young Africans SC 1-0 Vital’O FC
View attachment 3078273
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 45
Yanga 1-0 Vital'O
Dakika ya 49
Mzizeeeeee⚽️
Dakika ya 51
Chamaaaaaaa anapiga faulo kamba goooal
Dakika ya 61
Yanga wanafanya mabadiliko anatoka duke anaingia mudathir
Anatoka musonda anaingia max
Dakika ya 64
Aziz k anafanyiwa madhambi anapiga Free kick ana Kosa hapa
Dakika ya 66
Mabadiliko anatoka mzize anaingia dube
Dakika ya 68
Pacome anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 70
Young Africans SC 3-0 Vital’O FC
Dakika ya 71
Dubeeeeee goal chuma cha 4
Dakika ya 76
Mabadiliko anatoka pacome anaingia sure boy
Dakika ya 79
Goooooal Aziz k 😎
Dakika ya 85
YNG 5-0 VTL
Dakika ya 86
Mudaaaaathir kambaa chuma cha 6 😎
Kama ni hivyo, siku tumekubashia tano tungekupa bahasha si ndio mngefukuza hadi wapishiMiamala SC
mbona kama vile unanishambulia binti yanguMaisha ya soka ndivyo yalivyo unadhani kipindi aly Ahly /kaizer chiefs /wydad na timu zingine wanatufunga zile 5 5 hapa walikuaga wanatuchukuliaje?? Walikua wanajua wanakuja kutukanyaga waendelee na safari zao hatukua kitu kabisa! Ila tazama sasa sisi ndo tunawakanyaga watu watu wakija kwa mkapa huwa wanaogopa wanajua challenge accepted....
Ndo raha ya kukua mkuu enjoy
Chama mpira anaujua.simba sisi ni ujuaji na mihemko tu.mimi bado naamini pengo lake pale simba bado halijazibwa na itatuchukua miaka mingi kuliziba.Chama aongezewe mshahara.......