Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia kuwa nyuma mwiko dadaDaima mbele!!
Kila la kheriii wananchi!
Sasa huyo ndio hamnazo kabisa.Yani we jamaa nakuonaga unaakili kumbe nawe ni mbumbumbu kama wenzio sasa mambo ya simba yanaingia vp kwenye uzi wa mechi ya YANGA
Ndoto za mchana hizo.Yanga leo atafungwa 3 kwa moja na atatupwa nje ya mashindamo mark my words
ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23]Duh nakupa pole sana .
Angalia ID yangu alafu kahakiki hiko usemacho nimetoka shule zamani sana .
Niko na cheque namba nakula hela yenu ya kodi kitambo .
Sema nini mshahara wenyewe ushaisha nimenywea pombe rafiki , vipi unataka kunisapoti nini ?
Njoo nikuuzie mkweche wangu kuna IST naifukuzia hapo mjini kati .
Anyway hivi Yanga ni timu yako aisee sijui kama mnatoboa .
Hivi wewe ni Frank ?
Nisamehe bure jua kali sana hapa Mbeya hivyo akili iko less
[emoji23][emoji23][emoji23]Uliyeanzisha uzi tafadhali nyoosha maelezo sio kuandika shortcut, Andika " Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu Tanzania na medalist pekee wa CAFCC kutoka Africa Mashariki, Young Africans leo wanashuka dimbani........"