FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

Aya ndugu zetu makolo mtuambie mapema Al marrekh n wabovu au kwao kuna vita tujue mapema msije kunadili maneno maana kwa hii Yanga wakuifunga labda n mahakama tu
Wale ni wabovu, walishapigwa na simba hadi nabi akafukuzwa
 
Sasa ni nani mwenyewe anaweza ku risk hela yake kuibetia timu mbovu dhidi ya angalau?

Timu ya angalau lazima waibetie kwasababu inakupa asilimia fulani za kushinda
Ha ha haaaa
 
Ni mwendo wa rotation kwenye kikosi, mpaka sasa,pamoja na kucheza mechi tano ila 90% ya wachezaji wamecheza.
 
Kuna habar Ina trend wachezaji wa Asas wametokomea kusikojulikana baada ya mechi Yao na Yanga, masikini inaonekana walikuwa wanacheza mechi huku wakiwaza ni Chocho ipi wataenda nayo mechi ikimalizika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…