ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Makundi ya nini?Hilo si tatizo. Kwani mm nimesema anaenda kufeli? Mm nimesema kipimo sahihi ni hatua ya makundi na kuendelea.
Yanga analeta kombe la cafcl
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makundi ya nini?Hilo si tatizo. Kwani mm nimesema anaenda kufeli? Mm nimesema kipimo sahihi ni hatua ya makundi na kuendelea.
Nimesema makundi na kuendelea. Kuendelea maana yake hata fainali. Shabiki wa Yanga kuelewa ni tatizo?
Wale ni wabovu, walishapigwa na simba hadi nabi akafukuzwaAya ndugu zetu makolo mtuambie mapema Al marrekh n wabovu au kwao kuna vita tujue mapema msije kunadili maneno maana kwa hii Yanga wakuifunga labda n mahakama tu
Ha ha haaaaSasa ni nani mwenyewe anaweza ku risk hela yake kuibetia timu mbovu dhidi ya angalau?
Timu ya angalau lazima waibetie kwasababu inakupa asilimia fulani za kushinda
MSHAANZANchi ina vita, inasemekana hawana ligi ila Hilo si tatizo sababu ubora wa timu utathibitishwa kwenye makundi na kuendelea.
Na makundi yakifikiwa utasikia Yanga japita mjia mchekeaMSHAANZA
Kuacha mshery nani tena safi sana hiiNi mwendo wa rotation kwenye kikosi, mpaka sasa,pamoja na kucheza mechi tano ila 90% ya wachezaji wamecheza.