FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Ateba anachohitaji ni kutumia nafasi anazozipata na kuwa maeneo sahihi. Mpanzu ananyumbulika sana na timu inatengeneza nafasi nyingi ila imekuwa inashindwa kuzitumia.

Nadhani kuna umuhimu wa kumchezesha Mpanzu kama 10 halafu Mukwala na Ateba wawe wanacheza pamoja. Ahoua ukiacha penati zake ni mzinguaji tu.

Kwa sasa first 11 ya Simba inatakiwa kuwa. Hiki ndiyo kikosi cha kuipa Simba ubingwa msimu huu.
1. Camara
2. Kapombe
3. Nouma
4. Malone
5. Hamza
6. Kagoma
7. Kibu
8. Fernandez
9. Ateba
10. Mpanzu
11. Mukwala
 
Ateba ajitathmini sana. Moto alioanza nao umepoa kabisa. Anacheza kwa kurelax sana wakati Simba ilihitaji mshambuliaji katili. Alichofanya Mukwala leo ndiyo anatakiwa awe anafanya yeye kila siku.
Tarehe 8 mpange yeye basi
 
Hapa nakupiga 7 Cc ephen_ Bantu Lady Shadeeya
 
Yanga aingie kwanza kwenye orodha ya 10 bora ya timu bora Afrika ndio aje kujilinganisha na Simba ambayo ni timu ya 6 kwa ubora Afrika kwa mujibu wa CAF
🀣🀣🀣🀣🀣Simba bingwa 24/25πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mimi najibizana na wewe, sijibizani na nyingi. Watu wenye akili fupi hupenda majibu ya jumla jumla sana.

Kwa kukujibu ni kuwa wewe endelea kulilia wembe; utapewa tu
safari hii nyuma utaingiziwa mwiko ambao haujachongwa vizuri jiandae kwa maumivu
 
mtani umefurahi mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…