momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Yani hili jambo linanikera sana kwanza tuko nyuma sana ya goal difference lakini bado tunacheza kama watoto wa shule na Fadlu anaangalia tuHivi vipasi vivingi vingi vinavyochezwa kwenye zone yetu ndio vinavyo tu kostigi siku zote
Timu inatakiwa ibadilike hii style ya kuridhika kwa kuanza kuuchezea mpira kwenye eneo letu lishatuachia hasara na litakuja kutupa hasara nyingine kubwa ambayo itaweza kuondoka na kichwa cha mtu.