Wajuzi wa sheria za mpira, Chamou ni beki wa mwisho kamzui Maabad asiingie kwenye box la Simba refa njaa akaona kosa limetendeka akampa yellow kadi tu, je ile haikuwa red card? Je hii ni halali? Kwanini utumbo unaachwa uendelee?
Wapi Osman Kazi maana Mchambuzi Azam tv amedai hakukuwa na shida kwa ile yellow card!!
Dawa ya Simba ni Yanga tu hizi timu ndogo zinaonewa mno na marefa njaa!
Haya matokeo ya 0-3 si halali kwa mtazamo wangu! Simba walipaswa kucheza kumi uwanjani Chamou awe nje wakiwa na bao moja tu na Coastal Union wangebadili ubao wa matokeo leo wamekaza ila refa keshaharibu sherehe na TFF kimyaaaa, sijui TFF wanatoa wapi hawa marefa njaa wanaochezesha mechi za simba! Tena wanafanana rangi na vimo!