FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Wajuzi wa sheria za mpira, Chamou ni beki wa mwisho kamzui Maabad asiingie kwenye box la Simba refa njaa akaona kosa limetendeka akampa yellow kadi tu na kuweka faulo, je ile haikuwa red card? Je hii ni halali? Kwanini utumbo wa marefa njaa mechi za kolowizard unaachwa uendelee?

Wapi Osman Kazi maana Mchambuzi Azam tv amedai hakukuwa na shida kwa ile yellow card!!

Dawa ya Simba ni Yanga tu hizi timu ndogo zinaonewa mno na marefa njaa! tarehe 8 uto tunataka refa Colina wa Italia hawa vichaa TFF msituwekee uwanjani.

Haya matokeo ya mbeleko fc ya 0-3 si halali kabisa kwa mtazamo wangu! coastal union wamedhulumiwa dhahiri sote tukiangalia ball. Kwa haki kabisa Simba walipaswa kucheza kumi tu uwanjani Chamou awe nje wakiwa na bao moja tu na Coastal Union wangebadili ubao wa matokeo leo wamekaza ila refa keshaharibu sherehe na TFF kimyaaaa, sijui TFF wanatoa wapi hawa marefa njaa wanaochezesha mechi za simba! Tena wanafanana kiwango cha njaa, rangi na vimo!
 
Back
Top Bottom